IRINGA: Mkoa wa Iringa umeweka mkakati mpya wa kuharakisha mageuzi ya sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi kwa kuelekeza nguvu katika uzalishaji unaozingatia mahitaji ya soko, matumizi ya teknolojia za kisasa na uongezaji thamani wa mazao, hatua inayolenga kuongeza kipato cha wananchi na kuifanya Iringa kuwa kitovu cha kilimo cha biashara nchini. Mkakati huo umetangazwa …