KIBAHA, Pwani: Kuelekea maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetembelea kikundi cha wakulima cha Wazito Farm Flex kilichopo Kibaha, Mkoa wa Pwani, na kukabidhi msaada wa pembejeo pamoja na zana mbalimbali za kilimo. Akizungumza wakati wa tukio hilo, Ofisa Mwandamizi wa Huduma kwa Wateja kutoka TADB, Faithful … The post TADB yachochea kilimo cha kisasa Kibaha first appeared on HabariLeo.