None
SW
Ufaransa, Tanzania kushirikiana kilimo ikolojia
['Na John Nditi Morogoro', 'Mwandishi Wetu', 'New York']
HabariLeo
MOROGORO: SERIKALI ya Ufaransa itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kilimo ikolojia kinachohifadhi ardhi na mazingira kwa lengo la kuongeza uzalishaji na upatikanaji wa uhakika wa usalama wa chakula kitakachosaidia soko la ndani ya nchi na nyingine jirani. Balozi wa Ufaransa hapa nchini, Anne Sophie Ave amesema hayo mjini Morogoro kwenye uzinduzi mradi wa AgroKilimo unatekelezwa …
The post Ufaransa, Tanzania kushirikiana kilimo ikolojia first appeared on HabariLeo.