None
SW
Rais Samia afanya uteuzi DART
['Rahimu Fadhili', 'Mwandishi Wetu', 'New York']
HabariLeo
DAR ES SALAAM: Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amemteua, Said Habibu Tunda kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) akichukuwa nafasi ya Dk Athumani Kihamia ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Aidha, taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Sharifa Nyanga, imeeleza kuwa Pius Andrew Ng’ingo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni …
The post Rais Samia afanya uteuzi DART first appeared on HabariLeo.