HAI: Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kutokubali kushawishika na kufanya vurugu zitakazoharibu amani ya Tanzania. Dk Samia ametoa kauli hiyo leo Oktoba 01, akiwa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wakati akiendelea na kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu badae mwezi huu. Amesema ni vyema … The post Samia: Wakishafanya vurugu wanakimbia, msikubali! first appeared on HabariLeo.