None
SW
Ruwa’ichi: Hatushindani na serikali
['Mwandishi Wetu', 'New York']
HabariLeo
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amesema Kanisa Katoliki halina mpango wa kushindana na serikali. Askofu Mkuu Ruwa’ichi amesema hayo Dar es Salaam alipokuwa akihitimisha adhimisho la misa takatifu ya jubilei ya mapadre wa jimbo hilo lililofanyika katika Parokia ya Bikira Maria wa Fatima Msimbazi. “Kwa hiyo, …
The post Ruwa’ichi: Hatushindani na serikali first appeared on HabariLeo.