ARUSHA: Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi( CCM) Dk Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi mkoani Arusha kuwa kufikia mwaka 2030 maeneo yote ya nchi yatakuwa yamefikiwa na huduma ya umeme. Akizungumza Oktoba 01, wakati akihutubia wananchi wa Arumeru mkoani Arusha ikiwa ni muendelezo wa kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba … The post 2030 Tanzania yote itawaka umeme first appeared on HabariLeo.