MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amezialika sekta binafsi mkoani humo kuwekeza katika sekta ya hoteli kwa kujenga za nyota tano ili kuvutia mikutano ya kimataifa kufanyika jijini humo. Licha ya Dodoma kuwa makao makuu ya serikali, lakini hakuna mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyika. Hiyo ni kutokana na kukosekana kwa hoteli za hadhi kubwa, … The post Senyamule aita wawekezaji hoteli nyota 5 Dodoma first appeared on HabariLeo.