Mahakama ya kijeshi DRC imemhukumu kifo aliyekuwa rais Joseph Kabila, ikimtia hatiani kwa usaliti na uhalifu dhidi ya binadamu. Chama chake PPRD kimesema kesi hiyo The post Rais wa zamani wa DRC, kabila ahukumiwa adhabu ya kifo na mahakama ya kijeshi kwa kosa la usaliti appeared first on UDAKU SPECIAL.