Football ni Mchezo wa wazi,mtu atakwambia uwanja ulikuwa changamoto,ila tujiulize kwenye viwanja vizuri hapa Dar es salaam tumefanikiwa kuiona ile Yanga ya kweli? Muda mwingine The post Ukweli Mchungu ni Kwamba Yanga Wamesajili Vizuri, ila Benchi Lao la Ufundi Bado Lina Mapungufu appeared first on UDAKU SPECIAL.