IRINGA: Wasichana wa shule za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga wamepata faraja mpya baada ya Rafiki Australia Tanzania (Rafiki), kwa kushirikiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Cosato Chumi, na Wizara ya Afya, kuzindua mpango maalum wa kuwapatia taulo za kike za kisasa zinazoweza kutumika … The post Rafiki Australia Tanzania yatoa taulo za kike Mafinga first appeared on HabariLeo.