DAR ES SALAAM: Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimepokea kompyuta kuu tatu za ‘Lambda Vector’ zitakazotumika kutafuta, kuchakata taarifa na kurahishisha njia za kugundua magonjwa na matibabu kwa kutumia akili unde. Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 30, 2025, Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Appolinary Kamuhabwa, amesema vifaa hivyo … The post Mashine mpya kurahisisha uchakataji taarifa MUHAS first appeared on HabariLeo.