KIGOMA : MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo, amesema kuwa akichaguliwa kuwa Rais atanunua meli kubwa ya uvuvi ili kufanikisha uvuvi wa kisasa wenye tija katika Ziwa Tanganyika. The post Doyo ataka uvuvi wa kisasa Kigoma first appeared on HabariLeo.