DAR ES SALAAM : WAZIRI Mkuu , Kassim Majaliwa, ametoa maelekezo saba kwa wizara, taasisi za umma na wadau wa lishe nchini kuhakikisha wanatekeleza kwa vitendo maazimio yote ya kitaifa ikiwa ni jitihada za kupunguza udumavu na magonjwa yasiyoambukiza. The post Majaliwa aagiza mikakati kukomesha udumavu first appeared on HabariLeo.