ZANZIBAR : MGOMBEA wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali imejipanga kufanya kazi ya ziada katika Awamu Ijayo ili kuwawezesha wafanyabiashara na wajasiriamali. The post Mwinyi: CCM kuboresha maisha ya wafanyabiashara first appeared on HabariLeo.