None
SW
CCM yaahidi bandari ya kisasa Bagamoyo
['Alfred Kavishe', 'Mwandishi Wetu', 'New York']
HabariLeo
PWANI: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa endapo kitapewa ridhaa ya kuendelea kuongoza dola katika Uchaguzi Mkuu ujao, kitaendeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa bandari ya kisasa katika Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani. Akizungumza leo, Septemba 28, 2025, wakati wa kampeni zake kuelekea uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu, Mgombea Urais wa …
The post CCM yaahidi bandari ya kisasa Bagamoyo first appeared on HabariLeo.