None
SW
Ngajilo aahidi kituo cha afya Uyole kuanza kazi ndani ya siku 100
['Na Frank Leonard', 'Mwandishi Wetu', 'New York']
HabariLeo
IRINGA: MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CCM, Fadhili Ngajilo, amepeleka ujumbe kwa Mkurugenzi na Mganga Mkuu wa Manispaa ya Iringa kuhakikisha kituo cha afya cha Uyole kinaanza kutoa huduma ndani ya siku 100, akisisitiza haiwezekani fedha za serikali zitumike bila wananchi kunufaika. “Tunapeleka ujumbe kwa mkurugenzi na mganga mkuu wa …
The post Ngajilo aahidi kituo cha afya Uyole kuanza kazi ndani ya siku 100 first appeared on HabariLeo.