ARUSHA: MGOMBEA ubunge Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha, Yannick Ndoinyo amesema kuwa Rais wa kwanza nchini tangu uhuru kuwasikiliza viongozi wa Kimilla wa Jamii ya Kifugaji ya Kimasai Ngorongoro ni Rais Samia Suluhu Hassan na alijadiliana nao changamoto za uhifadhi na ardhi katika jimbo hilo na kuzitatua mara moja. “Rais Samia ndiye Rais wa kwanza … The post Mgombea ubunge Ngorongoro ampa sifa Dk Samia first appeared on HabariLeo.